Ushuhuda wa Maisha | Huduma ya Aina Hii Kwa Hakika Ni ya Kudharauliwa

Ding Ning Mji wa Heze, Mkoa wa Shandong

Katika siku chache zilizopita, kanisa limepanga mabadiliko katika kazi yangu. Nilipopokea wajibu huu mpya, niliwaza, “Ninahitaji kuchukua fursa hii ya mwisho kuita mkutano na ndugu zangu wa kiume na wa kike, niongee nao wazi juu ya mambo, na niwaache na picha nzuri.” Kwa hiyo, nilikutana na mashemasi kadhaa, na kufikia mwisho wa wakati wetu pamoja, nikasema, “Nimeulizwa kuondoka hapa na kuenda kwa kazi tofauti. Natumaini mtamkubali kiongozi ambaye anakuja kuchukua nafasi yangu ... Read more »

Views: 61 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.14.2019 | Comments (0)