Ushuhuda wa Injili | Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

Heyi Mji wa Zhuanghe, Mkoa wa Liaoning

Nilikuwa nimechaguliwa karibuni tu kuchukua jukumu la kiongozi wa kanisa. Lakini baada ya kipindi cha kazi ngumu, sio tu kuwa kazi ya kiinjili ilikuwa bila uhai kiasi, lakini ndugu zangu wa kiume na wa kike katika kikundi cha kiinjili walikuwa pia wakiishi katika hali hasi na ya udhaifu. Nikiwa nimekabiliwa na hali hii, sikuweza tena kudhibiti hisia zangu. Ni vipi tena ningeweza kuiamsha kazi ya kiinjili? Baada ya kupiga ... Read more »

Views: 44 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.17.2019 | Comments (0)