11:11 AM
Ni Wakati tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake
 
 • I
 • Ni Wakati tu Mungu anapojinyenyekeza kwa kiwango fulani, 
 • kumaanisha Anakuwa mwili ili kuishi kati ya wanadamu, 
 • ndipo wataweza kuwa wasiri Wake, 
 • ndipo watakuwa marafiki Zake wa karibu. 
 • Mwanadamu anawezaje kupata sifa ya kuwa mwandani wa Mungu 
 • Wakati Mungu ni wa Roho, 
 • ‘metukuka na mgumu kumwelewa? 
 • Ni kwa kuwa tu mwili ulioumbwa sawa na mwanadamu 
 • mwanadamu ataweza mapenzi Yake, na kupatwa na Yeye.
 • II
 • Mungu hunena na kufanya kazi katika mwili, 
 • Akishiriki furaha, huzuni na dhiki ya mwanadamu, 
 • Akiishi katika dunia yao, Akiwalinda na kuwaongoza, 
 • hivyo Akiwatakasa wapate baraka Yake na wokovu. 
 • Mwanadamu anawezaje kupata sifa ya kuwa mwandani wa Mungu 
 • Wakati Mungu ni wa Roho, 
 • ‘metukuka na mgumu kumwelewa? 
 • Ni kwa kuwa tu mwili ulioumbwa sawa na mwanadamu 
 • mwanadamu ataelewa mapenzi Yake, na kupatwa na Yeye.
 • III
 • Kupitia haya, 
 • mwanadamu anaweza kuelewa mapenzi ya Mungu 
 • na kuwa mwandani Wake; hili tu ndo la utendaji. 
 • Kama Mungu angekuwa asiyeonekana 
 • na asiyeguswa na mwanadamu, 
 • mwanadamu angekuwaje mwandani Wake? 
 • Je, fundisho hili ni bure? 
 • Mwanadamu anawezaje kupata sifa ya kuwa mwandani wa Mungu 
 • Wakati Mungu ni wa Roho, 
 • ‘metukuka na mgumu kumwelewa? 
 • Ni kwa kuwa tu mwili ulioumbwa sawa na mwanadamu 
 • mwanadamu ataelewa mapenzi Yake, na kupatwa na Yeye. 
 • Ni Wakati tu Mungu anapokuwa mwili, 
 • ndipo mwanadamu ‘takuwa msiri Wake.
 •  
 • kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili
 • Chanzo: Kanisa la Mwenyezi Mungu
 •  
 •  

 •  

Views: 39 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: Nyimbo za Maneno ya Mungu | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar