Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Mwenye Mwili na Watu Wanaotumiwa na Mungu

Kwa miaka mingi Roho wa Mungu amekuwa akitafuta bila kikomo Akifanya kazi duniani. Kwa enzi nyingi Mungu Ametumia wanadamu wengi kufanya kazi Yake. Hata hivyo Roho wa Mungu bado hana mahali pazuri pa kupumzika. Kwa hivyo Mungu hufanya kazi Yake, akisonga bila kikomo katika watu tofauti, na kwa ujumla Yeye hutumia watu ili kufanya hili. Yaani, katika miaka hii yote mingi, kazi ya Mungu haijawahi kusimama, lakini inaendelezwa mbele katika mwanadamu, mpaka siku ya leo. Ingawa Mungu Amesema na Ametenda mengi, mwana ... Read more »

Views: 94 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 07.31.2019 | Comments (0)