Matamshi ya Kristo | Sura ya 45

Mnawahukumu ndugu zenu hadharani kana kwamba si kitu. Hakika hamjui mema na maovu; hamna aibu! Je, hii si tabia mbaya ya kifidhuli, ya kutojali? Kila mmoja wenu amechanganyikiwa na ni mwenye moyo mzito; mnabeba mizigo mingi na hakuna sehemu Yangu ndani yako. Watu vipofu! Ninyi ni wakatili namna gani—hili litakoma lini?

Nazungumza nanyi kutoka moyoni Mwangu mara kwa mara na Ninawapa kila kitu Nilicho nacho, lakini ninyi ni wachoyo sana na hamna ubinadamu hata kidogo; hili kweli ni jambo lisiloeleweka. Kwa nini mnashikilia dhana zenu wenyewe? Kwa nini huwezi kuniruhusu Niwe na sehemu kidogo nda ... Read more »

Views: 89 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 07.14.2019 | Comments (0)