Kusikia Sauti ya Mungu | Sura ya 46

Yeyote anayejitumia na kujitolea kwa uaminifu kwa ajili Yangu, hakika Nitakukinga mpaka mwisho kabisa; mkono Wangu hakika utakushikilia ili kwamba daima una amani na mwenye furaha daima na kila siku una mwanga Wangu na ufunuo. Hakika Nitakupa baraka Zangu mara dufu, ili uwe na kile Nilicho nacho na umiliki kile Nilicho. Kile unachopewa ndani yako ni maisha yako, na hakuna mtu anayeweza kukichukua kutoka kwako. Usijiletee taabu au kufadhaika; ndani Yangu kuna amani na furaha tu. Ninakupenda kwa dhati, wewe mtoto ambaye hunisikiza kwa dhati na kunitii. Wale a ... Read more »

Views: 103 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 07.15.2019 | Comments (0)