3. Ni Nani Anayejua Moyo wa Kutunza wa Mungu
Qingxin Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan
Zamani, sikuelewa kazi ya Mungu ya kuwaokoa binadamu. Nilidhani kuwa almradi mtu fulani hufichua upotovu katika kazi yake au hufanya makosa ambayo huiharibu kazi ya kanisa, mtu huyo atakabiliwa na rada, au kupoteza kazi yake au aathiriwe na adhabu. Hiyo ni haki ya Mungu. Kutokana na ufahamu huu usio sahihi, pamoja na hofu ya kupoteza kazi yangu kutokana na kufanya makosa katika kazi yangu, nilifikiria juu ya utaratibu “mjanja”: Wakati
...
Read more »