Latest Swahili Worship Song 2019 | "Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa"

I

Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;

kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa;

kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.

Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,

ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.

Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.

Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa ... Read more »

Views: 47 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.20.2019 | Comments (0)