3:56 PM
Latest Swahili Worship Song 2019 | "Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa"

Latest Swahili Worship Song 2019 | "Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa"

I

Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;

kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa;

kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.

Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,

ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.

Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.

Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu,

mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.

II

Kwa sababu ni Mungu anayemfanyia mwanadamu kazi, mwanadamu ana hatima

na hatima yake hivyo inahakikishwa, hatima yake inahakikishwa.

Yale ambayo mwanadamu hufuatilia na kutamani ni matarajio aliyo nayo

anapofuata tamaa badhirifu za kimwili,

badala ya hatima, hatima inayotazamiwa na mwanadamu.

Yale ambayo Mungu amemwandalia mwanadamu, kwa upande mwingine,

ni baraka na ahadi zinazomngoja mwanadamu atakapotakaswa,

ambayo Mungu alimwandalia baada ya kuiumba dunia.

Hizo baraka na ahadi hazichafuliwi na fikira

ya mwanadamu na mawazo, au chaguo lake au mwili.

Hii hatima haijaandaliwa kwa mtu mahsusi, mtu mahsusi,

lakini ni mahali pa mapumziko kwa kila mwanadamu.

Hii ndiyo hatima inayofaa, hatima inayofaa kwa mwanadamu.

III

Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.

Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.

Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu,

mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.

Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.

Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.

Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu,

mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika

hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Views: 72 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: nyimbo, Nyimbo za Maneno ya Mungu | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar