Neno la Mungu | “Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima Tamko la Ishirini na Tisa” (Dondoo 1)

Mwenyezi Mungu anasema, “Mimi Natawala katika ufalme, na zaidi ya hapo, Ninatawala katika ulimwengu mzima; Mimi ni Mfalme wa ufalme na pia Mkuu wa ulimwengu. Kutoka wakati huu na kuendelea, Nitawakusanya wote wasio wateule na Nitaanza kufanya kazi Yangu katika mataifa, Na Nitatangaza amri Yangu ya utawala kwa ulimwengu mzima, ili kwa mafanikio Niweze kuin ... Read more »
Views: 95 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.08.2019 | Comments (0)