Kazi na neno la Mungu vina maana ya kuleta mabadiliko katika tabia zenu; lengo Lake si kuwafanya tu kuelewa au kujua kazi Yake na neno Lake na kufanya hilo kuwa mwisho wa jambo hilo. Kama mmoja wa uwezo wa kupokea, hampaswi kuwa na ugumu katika kuelewa neno la Mungu, kwa kuwa wingi wa neno la Mungu limeandikwa kwa lugha ya kibinadamu ambayo ni rahisi sana tu kuelewa. Kwa mfano, mnaweza kujua ni nini Mungu anataka muelewe na kutenda; hili ni jambo ambalo mtu wa kawaida ambaye ana uwezo wa uelewa anapaswa kuwa na uwezo wa kufanya. Maneno ya Mungu sasa ni hasa wazi na bayana, na Mungu husema mambo mengi ambayo watu hawajachukulia maanani na h ... Read more »

Views: 160 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.17.2019 | Comments (0)