Amani na furaha Nizungumziayo leo sio sawa na yale ambayo unaamini na kufahamu. Ulikuwa ukifikiri kwamba amani na furaha yalimaanisha kuwa na furaha siku nzima, kutokuwako kwa magonjwa au misiba katika familia yako, kuwa mwenye furaha kila mara ndani ya moyo wako, bila hisia zozote za huzuni, na furaha isiyoelezeka ndani yako haijalishi kiasi cha urefu wa maisha yako mwenyewe. Hilo lilikuwa ni pamoja na nyongeza katika mshahara wa mume wako na mwanao kuingia katika chuo kikuu karibuni. Kufikiria juu ya mambo haya, ulimwomba Mungu, uliona kwamba neema ya Mungu ilikuwa kuu sana, ulikuwa na furaha sana mpaka ukawa na tabasamu kubwa, na hungeacha kumshukuru Mungu. Amani na furaha kama hiyo sio amani na furaha halisi, wala sio amani na furaha ya kuwa ... Read more »

Views: 79 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.12.2019 | Comments (0)