Kuendeleza ubora wa tabia ya watu kunahitaji kwamba muendeleze uwezo wenu wa kupokea, Ili muweze kuelewa maneno ya Mungu na kujua jinsi ya kutenda kulingana nayo. Hili ndilo hitaji la msingi kabisa. Je, siyo imani iliyovurugika ikiwa unanifuata bila kufahamu kile Ninachosema? Haidhuru ni maneno mangapi Ninayosema, ikiwa hamuwezi kufika hapo, ikiwa hamuwezi kuyaelewa bila kujali Ninachosema, hii inamaanisha mna upungufu wa ubora wa tabia. Ni kwa sababu hammiliki uwezo wa kupokea kwamba hamna ufahamu hata mdogo wa kile Ninachosema. Kwa hivyo, ni vigumu sana kutimiza matokeo yanayotamanika. Mambo mengi hayawezi kusemwa kwenu moja kwa moja na athari ya awali haiwezi kutimizwa. Kwa hiyo, kazi za ziada zinapaswa kuongezwa kwa kazi Yangu. Ni muhimu kuzindua kazi hii ya “ku ... Read more »

Views: 75 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.17.2019 | Comments (0)