Aya za Biblia za Kurejelea:

Mwanzoni kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa na Mungu, na Neno alikuwa Mungu” (Yohana1:1).

“Na Neno alifanywa kuwa mwili, na akakaa kati yetu, aliyejawa neema na ukweli” (Yohana 1:14).

Mimi ndiye njia, ukweli na uhai” (Yohana 14:6).

Watakase kupitia kwa ukweli wako: neno lako ni ukweli” (Yohana 17:17).

“Akajibu na kuwaambia, Isaya ametabiri vizuri kuhusu ninyi wazandiki, jinsi ilivyoandikwa, Watu hawa wananiheshimu kwa midomo yao, bali mioyo yao iko ... Read more »

Views: 119 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.17.2020 | Comments (0)

Aya za Biblia za Kurejelea:

Kwa maana muda umekuja ambao lazima hukumu ianze katika nyumba ya Mungu” (1 Petro 4:17).

Na nikaona kiti kikubwa cha enzi, cheupe, na yeye akiketiye, ambaye kutoka kwa uso wake nchi na mbingu zilitoroka; na hapakupatikana mahali pao. Na nikawaona waliokufa, wakubwa na wadogo, wakiwa wamesimama mbele ya Mungu; na vitabu vilifunguliwa: na kitabu kingine pia kikafunguliwa, ambacho ni kitabu cha uhai: na waliokufa walihukumiwa kwa mambo yale yaliyokuwa yameandikwa katika vitabu hivyo, kulingana na vitendo vyao. Nayo bahari ikawatoa waliofariki ambao walikuwa ndani yake; na kifo na kuzimu zikawatoa waliofariki ambao walikuwa ndani zao: na kila mtu alihukumiwa kuling ... Read more »

Views: 82 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.16.2020 | Comments (0)

Aya za Biblia za Kurejelea:

Mwanzoni kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa na Mungu, na Neno alikuwa Mungu” (Yohana1:1).

“Na Neno alifanywa kuwa mwili, na akakaa kati yetu, (nasi tukautazama utukufu wake, utukufu kama ule wa Mwana wa pekee aliyezaliwa na Baba,) aliyejawa neema na ukweli” (Yohana 1:14).

Mimi ndiye njia, ukweli na uhai” (Yohana 14:6).

“Yesu akasema kwake, nimekuwa nanyi kwa muda mrefu, na bado hujanijua, Filipo? Yeye ambaye ameniona amemwona Baba; na unasemaje basi, Tuonyeshe Baba? Huamini kwamba mimi niko ndani ya Baba, na Baba yuko ndani ya mimi? Maneno ninenayo kwenu sineni juu yangu, ila Baba aishiye ndani ... Read more »

Views: 84 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.15.2020 | Comments (0)

Aya za Biblia za Kurejelea:

Na kukawa na kelele saa sita ya usiku, Tazama, anakuja bwana arusi; ondokeni nje ili kumkaribisha. … na wale waliokuwa tayari wakaingia ndani na yeye kwa harusi: nao mlango ukafungwa” (Mathayo 25:6, 10).

Tazama, nimesimama mlangoni, na kupiga hodi: mtu yeyote akisikia sauti yangu, na aufungue mlango, Mimi nitaingia kwake, na nitakula na yeye, na yeye na Mimi” (Ufunuo 3:20).

Andika, Wamebarikiwa wale wanaoitwa katika karamu ya arusi ya Mwanakondoo” (Ufunuo 19:9).

Maneno Husika ya Mungu:

“Kunyakuliwa” si kuchukuliwa kutoka mahali pa chini kwenda mahali pa juu ... Read more »

Views: 87 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.14.2020 | Comments (0)

Aya za Biblia za Kurejelea:

Yule ambaye anaamini na kubatizwa ataokolewa; lakini yule ambaye haamini atahukumiwa” (Marko 16:16).

Kwa kuwa hii ni damu yangu ya agano jipya, ambayo inamwagwa kwa ajiki ya msamaha wa dhambi” (Mathayo 26:28).

Siye kila mmoja ambaye aliniambia, Bwana, Bwana, ataingia ufalme wa mbinguni, ila yeye atendaye mapenzi ya Baba yangu ambaye yuko mbinguni” (Mathayo 7:21).

Maneno Husika ya Mungu:

Wakati huo kazi ya Yesu ilikuwa ni ukombozi wa wanadamu wote. ... Read more »

Views: 88 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.13.2020 | Comments (0)

Maneno Husika ya Mungu:

Kumjua Mungu kunamaanisha nini? Kunamaanisha kwamba mwanadamu anajua shangwe, hasira, huzuni na furaha ya Mungu; huku ndiko kumjua Mungu. Unasema kwamba umemwona Mungu, ilhali huelewi shangwe, hasira, huzuni, na furaha ya Mungu, huelewi tabia Yake, wala huelewi haki Yake. Huna ufahamu wa rehema Zake, na hujui Anachokipenda ama Anachokichukia. Huu si ufahamu wa Mungu. Ikiwa unamjua, unamwelewa, na unaweza kuelewa mapenzi Yake kiasi, basi unaweza kumwamini kwa kweli, kumtii kwa kweli, kumpenda kwa kweli, na kumwabudu Yeye kwa kweli. Ikiwa huelewi mambo haya, basi unafuata tu, mtu fulani anayefuata tu na kufuata umati. Hiyo haiwezi kuitwa kutii kwa kweli au ibada ya kweli. Je! Ibada ya kweli inafanyik ... Read more »

Views: 63 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.12.2020 | Comments (0)

Aya za Biblia za Kurejelea:

“Filipo akamwambia, Bwana, tuonyeshe Baba, na hiyo itatutosha. Yesu akasema kwake, nimekuwa nanyi kwa muda mrefu, na bado hujanijua, Filipo? Yeye ambaye ameniona amemwona Baba; na unasemaje basi, Tuonyeshe Baba? Huamini kwamba mimi niko ndani ya Baba, na Baba yuko ndani ya mimi? Maneno ninenayo kwenu sineni juu yangu, ila Baba aishiye ndani yangu, anazifanya kazi hizo. Niamini kwamba niko ndani ya Baba, na Baba yuko ndani ya mimi, la sivyo niamini kwa ajili ya kazi hizo” (Yohana 14:8-11).

Mimi na yeye Baba yangu tu mmoja” (Yohana 10:30).

Maneno Husika ya Mungu:

Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa ... Read more »

Views: 77 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.11.2020 | Comments (0)

 
 
  • I
  • Ni Wakati tu Mungu anapojinyenyekeza kwa kiwango fulani, 
  • kumaanisha Anakuwa mwili ili kuishi kati ya wanadamu, 
  • ndipo wataweza kuwa wasiri Wake, 
  • ndipo watakuwa marafiki Zake wa karibu.&n ... Read more »
Views: 80 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.10.2020 | Comments (0)

Neno la Mungu | “Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili” (Sehemu ya Pili)

Mwenyezi Mungu anasema, “Kitu kizuri zaidi kuhusu kazi Yake katika mwili ni kwamba anaweza kuacha maneno sahihi na ya kusihi, na mapenzi Yake kwa mwanadamu kwa wale wanaomfuata, ili kwamba hapo baadaye wafuasi Wake waweze kueneza kazi Yake yote katika mwili kwa usahihi zaidi na kwa udhabiti na mapenzi Yak ... Read more »

Views: 75 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.09.2020 | Comments (0)

Leo wote mnajua kwamba Mungu anawaongoza watu katika njia sahihi ya uzima, kwamba Anamwongoza mwanadamu kuchukua hatua inayofuata kuingia katika enzi nyingine, kwamba Anamwongoza mwanadamu kuvuka mipaka ya enzi hii ya kale ya giza, kutoka katika mwili, kutoka kwenye ukandamizaji wa nguvu za giza na ushawishi wa Shetani, ili kila mtu aweze kuishi katika ulimwengu wa uhuru. Kwa ajili ya kesho ya kupendeza, ili kwamba watu wawe wakakamavu katika hatua zao kesho, Roho wa Mungu anapanga kila kitu kwa ajili ya mwanadamu, na ili mwanadamu aweze kuwa na furaha kubwa zaidi, Mungu anajitolea jitihada Zake zote katika mwili Akiandaa njia mbele ya mwanadamu, ili siku ambayo mwanadamu anaitamani sana iweze kuja haraka. Nyote mngeweza kufurah ... Read more »

Views: 82 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 01.08.2020 | Comments (0)

« 1 2 3 4 5 ... 28 29 »