Baixue Mji wa Shenyang

Kwa sababu ya mahitaji ya kazi,nilihamishiwa hadi sehemu nyingine ya kazi。Wakati huo,nilikuwa na shukurani sana kwa Mungu。Nilihisi kwamba nilikuwa ninapungukiwa sana,lakini kwa njia ya ukuzwaji mtakatifu na  Mungu,nilipewa nafasi ya kutimiza wajibu wangu katika eneo la kazi la ajabu hivyo。Niliweka nadhiri kwa Mungu moyoni mwangu:Ningefanya lote ninaloweza kumlipa Mungu。

... Read more »

Views: 140 | Added by: hatat1946 | Date: 03.31.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Injili :Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo? | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Suxing Mkoa wa Shanxi

Mimi ni mtu mwenye kiburi na majivuno, na cheo kimekuwa udhaifu wangu. Kwa miaka mingi, nimefungwa na sifa na cheo na sijaweza kujiweka huru kutoka kwazo. Mara kwa mara nimepandishwa cheo na kubadilishwa na mtu mwingine; nimekuwa na vizuizi vingi katika cheo changu na nimekumbwa na matuta mengi njiani. Baada ya miaka mingi ya kushughulikiwa na kusafishwa, nilihi ... Read more »

Views: 114 | Added by: hatat1946 | Date: 03.29.2019 | Comments (0)

Ushuhuda wa Injili: Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Fan Xing Mji wa Zhumadian, Mkoa wa Henan

Katika siku za nyuma, nilikuwa nimeunganishwa na dada mmoja kufanya kazi kwa wajibu fulani. Kwa sababu nilikuwa na majisifu na mwenye kiburi na sikutafuta ukweli, nilikuwa na mawazo kiasi ya kabla kuhusu dada huyu ambayo niliweka moyoni mwangu daima na sikuzungumza waziwazi naye. Tulipotengana, sikuwa nimeingia katika ukweli wa uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha. Baadaye, kanisa lilinipangia kufanya kazi na dada mwingine nami nikaweka azimio mbele ya Mungu: Kuanzia sasa kuendelea, sitat ... Read more »

Views: 125 | Added by: hatat1946 | Date: 03.28.2019 | Comments (0)

Na Ouyang Mo, Mkoa wa Hubei

Baada ya miongo miwili ya mema na mabaya ambayo yeye na mumewe walipitia pamoja, hakuwahi kamwe kufikiria kwamba mumewe angekuwa na uhusiano wa nje ya ndoa. Alishindwa kabisa kuvumilia wakati alipogundua hilo. Licha ya kujaribu kila kitu ili kumfanya mumewe ampende tena, yote ilikuwa kazi bure. Katikati ya maumivu yake na kutokuwa na tumaini, ni maneno ya Mungu yaliyomwokoa, yakimsaidia kupata kiini cha maumivu yake, kuelewa maana ya maisha, na hatua kwa hatua kutoka kwenye fadhaa ya mateso yake.

Muda kweli huyoyoma. Hong’er alikua kutoka msichana mdogo mshamba na kuwa mwanamk ... Read more »

Views: 133 | Added by: hatat1946 | Date: 03.25.2019 | Comments (0)

Xiangwang Mkoa wa Sichuan

Ninahisi kuadibiwa sana moyoni mwangu kila mara ninapoona kwamba maneno ya Mungu yanasema: “Wanadamu dhalimu, wakatili! Kufumba macho na kula njama, kusukumana, kung’ang’ania sifa na mali, kuuana—haya yote yataisha lini? Mungu amezungumza maelfu na mamia ya maneno, ilhali hakuna hata mmoja ambaye amejifahamu. Wanatenda matendo kwa ajili ya familia zao na watoto wao, kazi zao, matarajio, hali katika jamii, majivuno na pesa, kwa sababu ya nguo, kwa sababu ya chakula na mwili—matendo ya nani kwa kweli ni kwa ajili ya Mungu? Hata miongoni mwa wale ambao matendo yao ni kwa ajili ya Mungu, ni wachache tu wanaomfahamu Mungu. Ni wangapi wanaotenda matendo yasiyo kwa maslahi yao? Ni wa ... Read more »

Views: 113 | Added by: hatat1946 | Date: 03.23.2019 | Comments (0)

Ndugu wawili wa kawaida, Beijing

Agosti 15, 2012

Julai 21, mwaka wa 2012 ilikuwa siku isiyosahaulika sana kwangu, pamoja na kuwa siku muhimu zaidi ya maisha yangu.

Siku hiyo, mvua kubwa ilikuwa ikinyesha katika Wilaya ya Fangshan jijini Beijing—ilikuwa kubwa kuliko yoyote iliyowahi kuonekana pale katika miaka sitini na mmoja. Muda mfupi baada ya saa 10 jioni, nilitoka nje mtaani ili kuangalia na nikaona kuwa maji yalikuwa kila mahali. Gari la familia yetu lilikuwa tayari limeelea, na sababu ya pekee gari hilo kutosombwa na mkondo wa maji ilikuwa kwamba lilizuiwa na kitu mbele yake kilicholizuia kusonga. Maono hayo yalinifanya kuwa na wasiwasi sana, hivyo kwa haraka nilimpigia mume wangu simu, ambaye pia ni muumini, lakini sikuweza kumpata kwa si ... Read more »

Views: 157 | Added by: hatat1946 | Date: 03.22.2019 | Comments (0)

Hu Ke Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong

Wakati wowote nilipoona maneno haya yaliyosemwa na Mungu, nilihisi kuwa na wasiwasi: “Kila sentensi Niliyoizungumza ina tabia ya Mungu ndani yake. Mngefanya vizuri endapo mngetafakari kuhusu maneno Yangu kwa umakini, na kwa kweli mtafaidi pakubwa kutoka kwa maneno hayo” (“Ni Muhimu Sana Kuelewa Tabia ya Mungu” katika Neno Laonekana katika Mwili). Nilihisi kuwa na wasiwasi kwa sababu kuelewa tabia ya Mungu ni muhimu sana yote kwa ufahamu wa mwanadamu wa Mungu na kutafuta kumpenda na kumridhisha Yeye. Lakini wakati wa kula na kunywa maneno ya Mungu, siku zote nilihisi kama tabia ya Mungu ilikuwa dh ... Read more »

Views: 140 | Added by: hatat1946 | Date: 03.21.2019 | Comments (0)

Zhenxi Jijini Zhenzhou, Mkoani Hena

Miaka kumi iliyopita, nikiendeshwa na asili yangu ya kiburi, sikuweza kamwe kutii kikamilifu mipangilio ya kanisa. Ningetii ikiwa ilinifaa, lakini iwapo haingenifaa ningechagua iwapo ningetii au la. Hili lilisababisha kukiuka sana mipangilio ya kazi wakati wa kutimiza wajibu wangu. Nilifanya jambo langu mwenyewe na kuichukiza tabia ya Mungu, na hivyo baada ya hapo nilitumwa nyumbani. Baada ya miaka kadhaa ya kujitafakari, nilikuwa kwa kiwango fulani na maarifa ya asili yangu mwenyewe, lakini kuhusu kipengele cha ukweli ambacho ni kiini cha Mungu bado sikuwa na maarifa mengi. Baadaye, ... Read more »

Views: 121 | Added by: hatat1946 | Date: 03.20.2019 | Comments (0)

Gan’en Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui

Katika maisha yangu,siku zote nimeongozwa na msemo,“Mtu hapaswi kuwa na moyo wa kuwadhuru wengine,lakini lazima awe macho ili asidhuriwe”katika uingiliano wa kijamii。Kamwe huwa siwaridhii wengine imani yangu kwa urahisi。Daima nimehisi kuwa katika hali ambapo hujui nia za kweli ya mtu,hupaswi kuonyesha nia yako punde sana。Kwa hiyo,inatosha kuweka mtazamo wa amani-kwa njia hii unajilinda na utafikiriwa na wenzako wa rika kama“mtu mzuri。”

... Read more »

Views: 123 | Added by: hatat1946 | Date: 03.18.2019 | Comments (0)

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa

Agosti 11, mwaka wa 2012

上帝的愛是最真實的

Usiku wa Julai 21, mwaka wa 2012, tulikuwa na mafuriko makubwa hapa, ambayo hutokea kwa nadra. Ningepen ... Read more »

Views: 115 | Added by: hatat1946 | Date: 03.16.2019 | Comments (0)

« 1 2 ... 26 27 28 29 »