Iwapo unataka kufaa kwa ajili ya matumizi na Mungu, lazima uijue kazi ya Mungu; lazima uijue kazi Aliyofanya awali (katika Agano Jipya na la Kale), na, zaidi ya hayo, lazima uijue kazi Yake ya leo. Ndiyo kusema, ni lazima uzitambue hatua tatu za kazi ya Mungu ya zaidi ya miaka 6,000. Ukiulizwa ueneze injili, basi hutaweza kufanya hivyo bila kuijua kazi ya Mungu. Mtu fulani anaweza kukuuliza kuhusu kile Mungu wenu amesema kuhusu Biblia, Agano la Kale, na kazi na maneno ya Yesu ya wakati huo. Ikiwa huwezi kunena kwa hadithi ya ndani ya Biblia, basi hawatashawishika. Mwanzoni, Yesu alizungumzia sana Agano la Kale na wanafunzi Wake. Kila kitu walichosoma kil ... Read more »

Views: 64 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 08.21.2019 | Comments (0)