Alipokuwa akiadibiwa na Mungu, Petro aliomba, “Ee Mungu! Mwili wangu ni mkaidi, na unaniadibu na kunihukumu mimi. Nafurahi katika adabu Yako na hukumu, na hata kama Hunitaki mimi, katika hukumu Yako mimi ninaona tabia Yako takatifu na tabia Yako ya haki. Unaponihukumu, ili wengine wapate kuiona hali Yako ya haki katika hukumu Yako, ninaridhika. Ninatamani tu kwamba tabia Yako ionekane ili, tabia Yako ya haki iweze kuonekana na viumbe wote, na kwamba niweze kukupenda kwa usafi zaidi kupitia hukumu Yako na nifikie mfanano wa yule mwenye haki. Hukumu hii Yako ni nzuri, kwa maana hivyo ndivyo mapenzi Yako ya neema yalivyo. Najua kwamba bado kuna mengi ndani yangu yaliyo ya uasi, na kwamba mimi bado sifai kuja mbele Yako. Ningependa unihukumu hata zaidi, iwe ni kupitia mazingira ya uhasama au mateso makubwa; haijalishi jinsi Utakavyonihukumu, kwangu itakuwa ya thamani. Upendo Wako ni mkuu, na mimi niko tayari kujiweka katika huruma Yako bila malalamiko ... Read more »

Views: 109 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 08.13.2019 | Comments (0)