Swahili Gospel Movie "Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni"

Song Ruiming ni mchungaji wa kanisa huko Korea Kusini. Kama mfuasi wa dhati wa Bwana kwa miaka mingi, amekuwa akifuatilia imani yake kwa bidii sana na kumfanyia kazi Bwana huku akisubiri kuinuliwa hadi katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Katika miaka ya hivi karibuni, amekuwa akihisi kuchanganyikiwa sana na mwenye udhaifu anapokuwa akiona kwamba Kanisa halina kazi ya Roho Mtakatifu na linazidi ku ... Read more »
Views: 84 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.14.2019 | Comments (0)

Latest Swahili Gospel Movie "Wakati Wa Mabadiliko" | Isikilize Sauti ya Mungu na Uinuliwe Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni

Su Mingyue ni mhubiri wa kanisa la nyumbani huko bara China. Kwa miaka, amekuwa mtumishi aliyejitolea wa Bwana anayesisitiza kufanya kazi ya kuhubiri kwa ajili ya Bwana na kubeba mzigo wa kazi kwa ajili ya kanisa. Anaongozwa na neno la Paulo katika Biblia, ... Read more »
Views: 94 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.13.2019 | Comments (0)

Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu

Fu Jinhua alikuwa mzee wa kanisa la nyumba nchini China. Kama Wakristo wengine wengi, alijitolea kwa Bwana kwa shauku kubwa, na alifanya kazi kwa bidii katika kazi yake kwa ajili Yake. Alikuwa hasa mwenye kujiamini, na alijiona kuwa mtu ambaye alimpenda Bwana kweli. Baada ya kumfuata Bwana kwa miaka mingi, aliamini kwa moyo wote kwamba Biblia ilikuwa imefunuliwa na Mungu, na kwamba maneno katika Biblia yote yalikuwa < ... Read more »
Views: 88 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.12.2019 | Comments (0)

Swahili Gospel Movie "Vunja Pingu Na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji Wangu

Lee Chungmin alikuwa mzee wa kanisa fulani huko Seoul, Korea ya Kusini. Kwa zaidi ya miaka ishirini, alimtumikia Bwana kwa shauku kubwa, akamakinika kikamilifu juu ya kusoma Biblia. Akifuatia mfano wa viongozi wake wa kidini, alidhani kuwa kumwamini Bwana kulimaanisha kuiamini Biblia, na kwamba kuwa na imani katika Biblia kulikuwa sawa kabisa na kuwa na imani katika Bwana. Aliamini kwamba almuradi angeshi ... Read more »
Views: 104 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.11.2019 | Comments (0)

Latest Swahili Christian Movie "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika Mungu

Yu Congguang huhubiri injili kwa niaba ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wakati wa kuhubiri injili, aliandamwa na serikali ya Kikomunisti ya China. Alikimbia milimani, ambapo alipokea msaada kutoka kwa Zheng Xun, mfanyakazi mwenza wa kanisa la n ... Read more »
Views: 72 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.09.2019 | Comments (0)

New Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?

Lin Bo'en alikuwa mzee wa kanisa katika kanisa la nyumbani Uchina. Wakati wa miaka yake yote kama muumini, alihisi kwamba ameheshimiwa kuteseka kwa ajili ya Bwana, na alithamini kumfahamu na kumpata Bwana Yesu Kristo zaidi ya kitu kingine chochote duniani. Siku moja ya jaala, alienda nje ... Read more »
Views: 71 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.09.2019 | Comments (0)

Latest Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake

Yang Hou'en ni mchungaji katika kanisa la nyumbani Uchina. Pamoja na babake Yang Shoudao, wamemngoja Bwana Yesu ashuke kutoka mawinguni na kuwachukua juu hadi katika ufalme wa mbinguni. Kwa ajili ya hili, walimfanyia Bwana kazi kwa bidii, walishikilia imara jina Lake, na kuamini kuw ... Read more »
Views: 79 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.07.2019 | Comments (0)

Christian movie “Siri ya Utauwa: Mfuatano” | Preaching the Gospel of the Second Coming of Lord Jesus

Lin Bo'en ni mhubiri mzee ambaye amemwani Bwana kwa miongo mingi. Tangu alipomkubali Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, alihukumiwa, akatengwa, na akafukuzwa kutoka kwa jumuiya ya kidini na wachungaji na wazee wa kanisa, nguvu zinazompinga Kristo. Lakini ingawa Lin Bo’en alishamb ... Read more »
Views: 61 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.06.2019 | Comments (0)

Swahili Christian Video "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa Bwana

Li Xinguang ni mwanafunzi wa shule ya upili ya ngazi ya juu. Alikuwa mvulana mwenye busara na mwenye tabia nzuri tangu alipokuwa mdogo. Wazazi wake na walimu wake walimpenda sana. Alipokuwa akienda katika shule ya kati, alipumbazwa na michezo ya kompyuta ya mtandaoni. Angekosa kwenda darasani mara kwa mara ili aende kwenye chumba cha mtandao. Wazazi wake walifanya kila juhudi kumsaidia kuyaondoa mazoea yake ya michezo. Kwa bahati mbaya, uzoefu wa Li Xinguang ulizidi kuwa mbaya zaidi na ... Read more »
Views: 94 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.05.2019 | Comments (0)

New Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la Mungu

Jina lake ni Wang Hua, na ni mhubiri wa kanisa la nyumbani Kusini mwa Uchina. Baada ya kuanza kumwamini Bwana, alipata kwenye Biblia kuwa Mungu aliitwa Yehova katika Agano la Kale, na aliitwa Yesu katika Agano Jipya. Ni kwa nini ... Read more »
Views: 89 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.04.2019 | Comments (0)

« 1 2 ... 6 7 8 9 10 ... 26 27 »