Je, mmeona kazi ambayo Mungu ataikamilisha katika kundi hili la watu? Mungu alisema, hata katika Ufalme wa Milenia watu ni lazima waendelee kufuata matamshi Yake, na katika maisha ya baadaye, matamshi ya Mungu bado yatakuwa yanaongoza maisha ya mwanadamu moja kwa moja kwenda katika nchi ya Kanaani. Musa alipokuwa jangwani, Mungu alimwelekeza na kuzungumza naye moja kwa moja. Kutoka mbinguni Mungu alituma chakula, maji, na mana ili watu waweze kuvifurahia, na leo bado ni hivyo: Mungu mwenyewe ametuma vitu chini kwa ajili ya kula na kunywa ili watu wafurahi, na yeye mwenyewe ametuma laana ili kuwaadibu watu. Na hivyo kila hatua ya kazi Yake inafanywa na Mungu Mwenyewe. Leo, watu wanatamani utokeaji wa kweli, wanajaribu kuona ishara na maajabu, na kuna uwezekano mkubwa watu wa namna hiyo kutelekezwa, maana ... Read more »

Views: 50 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.30.2019 | Comments (0)

Wimbo wa Kwaya ya Injili | "Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani" Mambo Muhimu 5: Tumaini la Milenia Hatimaye Latimia | Wimbo wa Kuabudu

Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele. Mandhari haya ... Read more »

Views: 74 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.29.2019 | Comments (0)

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu" (Dondoo 1)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika ... Read more »

Views: 82 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.28.2019 | Comments (0)

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake" (Dondoo 6)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika ... Read more »

Views: 229 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.26.2019 | Comments (0)

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu" (Dondoo 3)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika ... Read more »

Views: 66 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.26.2019 | Comments (0)

Matamshi ya Mungu | “Mwanadamu Aliyepotoka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili” (Dondoo 4)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirik ... Read more »

Views: 70 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.24.2019 | Comments (0)

Maneno ya Roho Mtakatifu | “Uonapo Mwili wa Kiroho wa Yesu Ndio Utakuwa Wakati Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia” (Dondoo 1)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwish ... Read more »

Views: 90 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.24.2019 | Comments (0)

Neno la Mungu | “Mwanadamu Anaweza Kuokolewa Katikati ya Usimamizi wa Mungu Pekee” (Dondoo 1)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika ... Read more »

Views: 70 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.23.2019 | Comments (0)

Maneno ya Mungu ya Kila Siku "Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu" (Dondoo 2)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika ... Read more »

Views: 55 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.22.2019 | Comments (0)

Latest Swahili Worship Song 2019 | "Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa"

I

Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;

kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa;

kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.

Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,

ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.

Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.

Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa ... Read more »

Views: 73 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 12.20.2019 | Comments (0)

« 1 2 3 4 5 6 ... 26 27 »