Kunayo mambo mengi ambayo Ninatumai mtaweza kufikia. Hata hivyo, matendo yenu na maisha yenu yote hayawezi kuridhisha matakwa Yangu kikamilifu, kwa hiyo lazima Niseme kile hasa ninachotaka kusema na kuwafafanulia mapenzi Yangu. Kwa kuwa utambuzi wenu ni ndogo na shukrani yenu pia ni ndogo, karibu mmekosa kabisa kujua tabia Yangu na dutu Yangu pia, na hivyo ni suala la dharura kwangu Mimi kuwafahamisha kuyahusu. Haijalishi hapo awali ulielewa kiwango kipi au kama uko radhi kujaribu kuelewa masuala haya, lazima bado Niyaelezee kwenu kwa undani. Masuala haya si mageni kabisa kwenu, lakini inaonekana kwamba hamwelewi au hamjazoea maana iliyomo ndani yao. Wengi wenu mnao ufahamu dhaifu tu na aidha ufahamu kiasi na usiokamilika. Ili kuwasaidia kutenda ... Read more »

Views: 72 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 09.14.2019 | Comments (0)