11:47 PM
Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Ushuhuda wa Nguvu ya Mungu

Kote katika ulimwengu mkubwa mno, sayari zote ya mbingu husogea kwa usahihi katika mizunguko yazo zenyewe. Chini ya mbingu, milima, mito, na maziwa vyote vina mipaka yavyo, na viumbe vyote huishi na kuzaana wakati wa misimu yote minne kulingana na sheria za maisha…. Hili lote limepangwa vizuri sana—je, kuna Mwenye Uwezo Mmoja anayepanga na kutawala yote haya? Tangu tuje katika ulimwengu huu tukilia tumeanza kutekeleza majukumu tofauti katika maisha. Sisi husogea kutoka kuzaliwa mpaka uzee mpaka kuugua hadi kifo, sisi husogea kati ya furaha na huzuni…. Wanadamu kwa kweli hutoka wapi, na kwa kweli tutaenda wapi? Ni nani huitawala jaala yetu? Kutoka nyakati za kale hadi siku za kisasa, mataifa makubwa yameibuka, nasaba za wafalme zimekuja na kwenda, na nchi na watu wamesitawi na kuangamia katika mikondo ya historia…. Kama tu sheria za asili, sheria za maendeleo ya wanadamu zina mafumbo yasiyo na kikomo. Ungependa kujua majibu kuyahusu? Filamu iitwayo Yule Ambaye Hushikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu itakuongoza kufikia kiini cha jambo hili, ili kufichua mafumbo yote haya!

Tazama zaidi: Mkusanyiko wa sinema zetu bora za injili. Hizi shuhuda za kweli ulionenwa na kazi Yake ya hukumu ya Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho zitakuongoza kuelewa kazi ya Mungu ya siku ya mwisho na kukaribisha kurudi kwa Bwana. 

 

 

Views: 76 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: Video za Hivi Punde, Video za Uzoefu wa Mateso | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar