Waovu Hakika Wataadhibiwa

Jichunguzeni ili kuona kama mnatenda uhaki katika kila jambo mnalotenda, na iwapo matendo yenu yote yanachunguzwa na Mungu: Hii ndiyo kanuni ambayo kwayo wale wanaomwamini Mungu wanafanya shughuli zao. Mtaitwa wenye haki kwa sababu mnaweza kukidhi matakwa ya Mungu, na kwa sababu mnakubali utunzaji na ulinzi wa Mungu. Machoni pa Mungu, wote wanaokubali utunzaji, ulinzi na ukamilishaji, na wale wanaopatwa na Yeye, ni wenye haki, na Yeye huwatazama wote kama wenye thamani. Jinsi mnavyozidi kukubali maneno ya sasa ya Mungu, ndivyo mtakavyozidi kuweza kupokea na kuelewa mapenzi ya Mungu zaidi, na ndivyo basi mtakavyoweza kuishi kwa kudhihirisha neno la Mungu ... Read more »

Views: 106 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 10.10.2019 | Comments (0)