1:39 PM
Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days

Kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho imevuma katika kila farakano na kikundi. Kufuatia kuenea kwa injili ya ufalme, maneno ya Mwenyezi Mungu yanakubaliwa na kuenezwa na watu zaidi na zaidi, waumini wa kweli katika Mungu ambao wana kiu ya Yeye kuonekana wamekuwa wakirudi mmoja kwa mmoja mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Kwa sasa, serikali ya China na wachungaji na wazee wa kanisa wa kidini wamelizuia na kulitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu bila kukoma tangu mwanzo hadi mwisho. Mhusika mkuu wa filamu hii, Zheng Xinjie, ni mshirika wa Kanisa la Mwenyezi Mungu ambaye anaeneza injili. Amekabiliwa na udhalimu na mashambulizi makali kutoka kwa serikali ya Kikomunisti ya China na viongozi wa kidini. Pamoja na ndugu zake, wakimtegemea Mungu, je, atashindaje dhidi ya nguvu hizi za giza, za KIshetani ili kuimba wimbo wa ushindi? ...

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

 

Views: 42 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: Filamu za Injili | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar