6:17 AM
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Kwanza

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Kwanza

Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Kwa Kupinga Mungu kwa Ukaidi, Binadamu Anaangamizwa na Hasira za Mungu
Kupotoka kwa Sodoma: Kunakasirisha Binadamu, Kunaghadhibisha Mungu
Sodoma Yaangamizwa kwa Kukosea Hasira za Mungu
Baada ya Ukinzani wa Mara kwa Mara wa Sodoma na Ukatili Wao Dhidi Yake, Mungu Anaufuta Kabisa

Vitabu vya Kanisa la Mwenyezi Mungu vinajumuisha maonyesho ya Mungu wakati wa Enzi ya Ufalme, mahubiri na ushirika wa mtu anayetumiwa na Roho Mtakatifu na uzoefu na ushuhuda wa watu waliochaguliwa na Mungu.

Yaliyopendekezwa: Wimbo Mpya wa Dini | "Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa" | Have You Followed God's Footsteps?

Views: 34 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: matamshi ya Mungu, tabia ya Mungu, Mungu Mwenyew | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar