Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma

Kutoka Mashariki ya ulimwengu (Mashariki ... Mashariki ...),
mwale wa mwanga unatokea (mwanga ... mwanga ...),
ukiangaza njia yote kwenda magharibi.
Mwana wa Adamu ameshuka duniani.

Mwokozi amerejea, Yeye ni Mwenyezi Mungu.
Akionyesha ukweli, Ameanzisha enzi mpya.
Mwana wa Adamu ameonekana. (Siyo?)
Mungu amekuja. (Eh!)
Yeye huwaletea binadamu njia ya uzima wa milel ... Read more »

Views: 56 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 09.18.2019 | Comments (0)