8:35 PM
Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III” Sehemu ya Pili

Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III” Sehemu ya Pili

Mwenyezi Mungu anasema, “Hakuna kizuizi chochote katika kazi Yake na kile Anachokifanya, na haitawekewa kizuizi chochote na binadamu yeyote, kitu chochote, au kifaa chochote, na haitakatizwa na nguvu zozote za kikatili. Katika kazi Yake mpya, Yeye ni Mfalme anayeshinda daima, na nguvu zozote za kikatili na uvumi wote na hoja za uwongo zote kutoka kwa mwanadamu zimekanyagiwa chini ya kibao Chake cha kuwekea miguu. Haijalishi ni hatua gani mpya ya kazi Yake ambayo Anatekeleza, lazima iendelezwe na ipanuliwe katika mwanadamu, na lazima itekelezwe bila kuzuiliwa kote ulimwenguni mpaka pale ambapo kazi Yake kubwa imekamilika. Huu ndio uweza na hekima ya Mungu, na mamlaka na nguvu Zake.”

Tazama Zaidi:  Ishara za siku za mwisho hukusanya habari kama vile mwezi damu, majanga na vita kujulisha dalili za siku za mwisho zilizotabiriwa katika Biblia zimeonekana moja baada ya yengine, na ni wakati wa kukaribisha kuja kwake Yesu kwa mara ya pili.

Views: 25 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: Mamlaka ya Mungu, matamshi ya Mungu, Mungu Mwenyewe | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar