9:05 AM
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Sehemu ya Tano

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Sehemu ya Tano

Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Shetani Hajawahi Kuthubutu Kukiuka Mamlaka ya Muumba, na Kwa Sababu Hiyo, Vitu Vyote Vinaishi kwa Mpangilio
Mungu Pekee, Ambaye Anao Utambulisho wa Muumba, Anamiliki Mamlaka ya Kipekee
Utambulisho wa Muumba ni wa Kipekee, na Hufai Kufuata lile Wazo la Imani ya Kuabudu Miungu Wengi
Ingawaje Binadamu Amepotoka, Angali Anaishi Chini ya Ukuu wa Mamlaka ya Muumba

Sehemu filamu za injili hutoa video nzuri za kikristo, zikiwemo sinema bora za injili ambapo baadhi ya ukweli kuhusu kurudi kwa Bwana Yesu Kristo kwa mara ya pili unahusishwa, kama vile kunyakuliwa, kupata mwili, kumjua Mungu, jina la Mungu.

Views: 45 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: Mungu Mwenyewe, matamshi ya Mungu, Muumba | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar