4:23 PM
Filamu za Kikristo 2018 | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in Judgement

Filamu za Kikristo 2018 | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in Judgement

Fan Guoyi alikuwa mzee wa kanisa la nyumba kule Uchina. Wakati wa zaidi ya miaka ishirini ya huduma, siku zote alimwiga Paulo, na kufanya kazi kwa bidii na akamtumikia Bwana kwa shauku kubwa. Aidha, alisadiki kabisa kwamba katika kufuata imani yake kwa njia hii, alikuwa akitenda mapenzi ya Baba wa mbinguni, na kwamba wakati Bwana angerudi, angenyakuliwa kwa hakika na kuenda kwenye ufalme wa mbinguni. Hata hivyo, wakati wokovu wa Mwenyezi Mungu wa siku za mwisho ulipomjia, alishikilia kwa dhana zake. Alikataa, akapinga, na kushutumu kazi ya Bwana ya siku za mwisho tena na tena…. Baadaye, baada ya kufanya majadiliano kadhaa na wahubiri kutoka kwenye Kanisa la Mwenyezi Mungu, Fan Guoyi hatimaye alizinduliwa kwa ukweli, alielewa kwa kweli maana ya kutekeleza mapenzi ya Baba wa mbinguni, pamoja na jinsi ya kufuata imani yake kwa njia ambayo ingemwezesha kufikia wokovu na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni….

Views: 159 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: Filamu za Injili,VIDEO | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar