9:22 PM Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" | The Great Mission of Christians |
Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" | The Great Mission of ChristiansI
Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, ni jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo la Mungu. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. II
Ikiwa akili na miili yetu haiko kwa ajili ya agizo la Mungu au njia ya mwanadamu ya haki, roho zetu hazitastahili waliokufa kishahidi kwa ajili ya agizo la Mungu, zaidi haistahili kwa Mungu anayetupa kila kitu. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya Video Husika: Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi | Kwaya ya Injili
Unaweza Pia Kupenda: Ni Wale Wanaokubali Ukweli Tu Ndio Wanaweza Kuisikia Sauti ya Mungu |
|
Total comments: 0 | |