8:01 PM
Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu
 
 
 • Wimbo wa Maneno ya Mungu

 • Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

 • I
 • Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, 
 • Kama wafuasi wa Kristo wa dhati, 
 • ni wajibu wetu, ni jukumu letu 
 • kutoa akili zetu na miili yetu 
 • kwa kutimiza agizo la Mungu. 
 • Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, 
 • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. 
 • Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu, 
 • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
 • II
 • Ikiwa akili na miili yetu haiko kwa ajili ya 
 • agizo la Mungu au njia ya mwanadamu ya haki, 
 • roho zetu hazitastahili waliokufa kishahidi 
 • kwa ajili ya agizo la Mungu, 
 • zaidi haistahili kwa Mungu anayetupa kila kitu. 
 • Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, 
 • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. 
 • Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, 
 • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
 •  
 • Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, 
 • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. 
 • Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu, 
 • na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
 •  
 • kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili
 •  

 •  
Views: 39 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: nyimbo za kusifu, Nyimbo za Maneno ya Mungu | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar