9:15 PM
Wimbo Mpya wa Kuabudu 2019 | “Kristo wa Siku za Mwisho Ameleta Enzi ya Ufalme” (Swahili Gospel Song)

Wimbo Mpya wa Kuabudu 2019 | “Kristo wa Siku za Mwisho Ameleta Enzi ya Ufalme” (Swahili Gospel Song)

Yesu alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu,

Akatamatisha Enzi ya Sheria,

Alileta Enzi ya Neema.

Mungu mara nyingine akakuwa mwili katika siku za mwisho.

Akitamatisha Enzi ya Neema,

Alileta Enzi ya Ufalme.

Wote wanaokubali kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili

wataongozwa katika Enzi ya Ufalme na kupokea uongozi Wake.

Baada ya mwanadamu kusamehewa dhambi zake,

Mungu alirudi mwilini kumwongoza.

Atamwongoza mwanadamu kuingia katika enzi mpya.

Ameanza kazi ya hukumu

ili kumleta mwanadamu katika ulimwengu wa juu zaidi.

Wote wanaotii utawala Wake

watavuna ukweli wa juu na baraka kuu.

Ee wataishi katika mwangaza!

Na kupata njia, ukweli, na uzima!

Yesu alifanya kazi nyingi kati ya wanadamu.

Ukombozi wa wanadamu wote ndio kazi aliyomaliza pekee.

Aligeuka sadaka ya mwanadamu ya dhambi,

lakini hakumwondolea mwanadamu

tabia yake yote potovu, upotovu wote wa mwanadamu.

Kumwokoa mwanadamu kutoka kwa Shetani kulimaanisha

Yesu alilazimika kuchukua dhambi za mwanadamu,

lakini kazi kubwa zaidi ya Mungu ilihitaji

kumwondolea mwanadamu upotovu wa Shetani.

Baada ya mwanadamu kusamehewa dhambi zake,

Mungu alirudi mwilini kumwongoza.

Atamwongoza mwanadamu kuingia katika enzi mpya.

Ameanza kazi ya hukumu

ili kumleta mwanadamu katika ulimwengu wa juu zaidi.

Wote wanaotii utawala Wake

watavuna ukweli wa juu na baraka kuu.

Ee wataishi katika mwangaza!

Na kupata njia, ukweli, na uzima!

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Views: 98 | Added by: flickrpinquorettfb | Tags: Usomaji wa Maneno ya Mungu, Hukumu na Kuadibu Kwake, hukumu ya siku za mwisho | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar