Latest Swahili Gospel Movie "Wakati Wa Mabadiliko" | Isikilize Sauti ya Mungu na Uinuliwe Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni

Su Mingyue ni mhubiri wa kanisa la nyumbani huko bara China. Kwa miaka, amekuwa mtumishi aliyejitolea wa Bwana anayesisitiza kufanya kazi ya kuhubiri kwa ajili ya Bwana na kubeba mzigo wa kazi kwa ajili ya kanisa. Anaongozwa na neno la Paulo katika Biblia, ... Read more »
Views: 88 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 11.13.2019 | Comments (0)