Li Li Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong

Sio muda mrefu uliopita, nilichaguliwa kama kiongozi wa ngazi ya katikati na ndugu zangu wa kiume na kike. Siku moja, nilipokuwa nimekusanyika na wafanyakazi wenzangu, sikuweza kujizuia kufikiria mwenyewe: ni lazima nifanye vyema. Ningetimiza wajibu wangu vibaya, viongozi wangu na wafanyakazi wenzangu wangenionaje? Matokeo yake yalikuwa, tulipozungumzia mada fulani pamoja, almuradi nilikuwa na ufahamu kidogo wa mada hiyo, basi ningejaribu kuwa wa kwanza kusema kitu, hata hivyo wakati sikuwa na ufahamu wa mada iliyojadiliwa na sikuweza kusema chochote, nilijipata nikiwa na wasiwasi. Katika siku hizo chache za mikutano, nilihisi nimechoka sana na kuwa na wasiwasi hasa, kana kwamba nilikuwa katika uwanja fulani wa kupam ... Read more »

Views: 82 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.12.2019 | Comments (0)

  Xinyi Mji wa Xi’an, Mkoa wa Shaanxi

Katika ziara zangu za karibuni kwa makanisa, mara nyingi niliwasikia viongozi na wafanyakazi wakisema kwamba watu wengine, baada ya kuhudhuria ushirika na mimi, waligeuka hasi, wanyonge na walikosa motisha ya kuendelea kutafuta. Wengine walisema ilikuwa vigumu sana kumwamini Mungu na walimwelewa Mungu visivyo. Wengine walisema kwamba hali zao zilikuwa nzuri kabla ya wao kukutana na mimi, lakini punde tu waliponiona, walihisi shinikizo kubwa mno na wasio na raha. ...Niliposikia haya yote, nilihuzunika, na nilihisi kukosewa vibaya—kila wakati nilipokuja kushiriki na wao ningeishi kwa baadhi ya siku, na, ili kutatua shida zao, nilipitia na kudondoa kama mifano vifungu vingi vya neno la Mungu, nikizungumza hadi nilipokauka mdomo, na ... Read more »

Views: 104 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 06.12.2019 | Comments (0)