Cheng Mingjie Jiji la Xi’an, Mkoa wa Shaanxi

Mimi hujiona kuwa mtu wa aina ya kuwa wazi na mchangamfu. Mimi huzungumza na watu kwa njia ya waziwazi; chochote ninachotaka kusema, mimi husema—mimi sio aina ya mtu wa kuzungukazunguka. Katika kuingiliana kwangu na watu mimi huwa ni mwaminifu na wazi kiasi. Mara kwa mara, mimi hudanganywa na kudhihakiwa kwa sababu ya kuwaamini wengine kwa urahisi. Ilikuwa tu baada ya kuanza kwenda kanisani nilipopata mahali ambapo ningepaita pangu. Nilijiwazia mwenyewe: “Katika siku za nyuma kutokuwa na hila kwangu kumenifanya mwenye kuweza kudhuriwa na udanganyifu wa wengine; lakini katika kanisa Mungu anataka watu waa ... Read more »

Views: 86 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.29.2019 | Comments (0)

Jinru Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan

Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa na mambo haya, sikuweza kujizuia mwenyewe kuifichua tabia yangu potovu. Nilisumbuliwa na hili kwa kina, na nikafikiri: Kwa nini maneno ya wengine yanaweza kuniaibisha hadi kukasirika? Na kwa nini sijabadilika hata kidogo licha ya miaka minane ya kumfuata Mungu? Nilikuwa na wasiwasi na tena na tena nilitafuta kutoka kwa Mungu, nikimuuliza kunipa nuru ili niweze kujua chanzo cha mbona tabia yangu potovu haikuwa imebadilika

Siku moja, w ... Read more »

Views: 93 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.29.2019 | Comments (0)