Ushuhuda wa Maisha | Ni Nini Husababisha Uongo

Xiaojing Jijini Heze, Mkoani Shandong

Kila mara nilipoona neno la Mungu likituomba kuwa watu waaminifu na kuzungumza kwa usahihi, niliwaza, “Sina tatizo na kuzungumza kwa usahihi. Si ni kusema tu kitu jinsi kilivyo na kusema mambo jinsi yalivyo? Je, hiyo si rahisi? Kilichokuwa kimenikera zaidi daima katika dunia hii walikuwa watu waliotia chumvi walipozungumza.” Kwa sababu ya hili, nilihisi imani kuu, nikifikiri kwamba sikuwa na shida katika hal ... Read more »

Views: 78 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.12.2019 | Comments (0)

 Siri Niliyoishikilia kwa Kina Ndani ya Moyo Wangu

Wuzhi Mji wa Linyi, Mkoa wa Shandong

Katika majira ya kuchipua ya mwaka wa 2006, nilinyang’anywa cheo changu kama kiongozi na nikarudishwa nilikotoka kwa sababu nilifikiriwa kuwa “bwana ndiyo” sana. Niliporejea mara ya kwanza, nilitumbukia ndani ya kikalibu cha mateso na maumivu makubwa. Sikuwahi kufikiri kwamba baada ya miaka mingi ya uongozi mambo yangeharibika kwa sababu ya kuwa “bwana ndiyo.” Huu ulikuwa ndio mwisho kwangu, nilidhani, kila mtu aliyenijua angejua juu ya kushindwa kwangu na ningefanywa kama mfano mbaya katika kanisa. Ni ... Read more »

Views: 148 | Added by: flickrpinquorettfb | Date: 05.12.2019 | Comments (0)